News / Events
Ziara ya Maskofu walipotembelea Mahonda
Siku ya pili tarehe 22/2/2020 maskofu walitembelea parishi ya Mahonda na kujionea mambo mbali mbali pamoja na ujenzi wa kanisa jipya pia na shule.
Tafrija ya maskofu iliyofanyika Kiungani
Siku ya pili tarehe 21/2/2020 kulikuwa na tafrija iliyofanyika Kiungani ambapo maskofu walipata chakula cha jioni na kubadilishana mawazo na wenyeji na kufurahi pamoja
Mkutano wa 11 wa mashauriano wa maskofu wa kianglikana duniani
Mkutano wa 11 wa mashauriano wa maskofu uliofanyika Golden Tulip BUBUBU kuanzia tarehe 19/02/2020 mpaka tarehe 13/02/2020. Kujadili kuhusu kufanya huduma kwenye mazingira magumu na jinsi gani kutangaza injili sehemu mbalimbali za dunia
Picha ya pamoja ya maskofu woote walioudhuria kwenye mkutano huo
Peace Awareness Seminar
Peace awareness seminar held at Kidongo-Chekundu Hall in Zanzibar on the 28th January 2020. The purpose of the seminar is to promote peace in the island especially during the upcoming elections. The meeting was attended by forty five religious leaders, political parties and other community members. For more images visit : https://www.facebook.com/AnglicanDioceseZanzibar/
https://www.yo...
Mkutano Mkuu Wa Uchaguzi Wa Vijana
Mkutano mkuu wa uchaguzi wa vijana dayosis ya Zanzibar uliofanyika tarehe 25/01/2020 katika ukumbi wa kanisa kuu Mkunazini.
Waliochaguliwa kuongoza Tayo ni:
VIONGOZI
Benjamin ( Mwenyekiti )Emmanuel Asama ( Msaidizi Mwenyekiti )Castro Ezekiel ( Katibu )Lameck Joachim ( Mshika Fedha )
WAJUMBE
Wninniefrida Rukwage (Pemba)Betina Asheri (Mohonda, Unguja)Ombeni Simon (Machui Unguja)Fred...
Events of Christmas and new year services
Monday 23rd 06.00 pm:-Nativity Play (Swahili)
Tuesday 24th 05.00 pm:-Christmas Carols & 9 Lessons (English)
09.00 pm-Christmas Eve Vigil and Holy Baptism (Swahili)
Wednesday 25th 06.30 am:-Holy Eucharist (Swahili)
08.00 am:-Holy Eucharist (English)
09.00 am:-Holy Sung Mass (Swahili)
Thu...
Press Launch Searching For Peace
PRESS CONFERENCE : SEARCHING FOR A COMMON GROUND FOR PEACE IN ZANZIBAR HELD ON 26th NOVEMBER 2019. PROJECT FUNDED BY EUROPEAN UNION.
Mradi umeandaa majukwaa ya vijana, wanawake, viongozi wa dini na mahusiano ya maafisa wa serikali kwa njia ya mazungumzo na mashirikiano kuhamasisha shughuli za kitamaduni na michezo ambazo huwaunganisha watu katika jamii.
Mradi huu wa kutafuta Amani (Search...
St Monica School Graduation day
St Monica School Graduation day held at Kiungani Zanzibar on the 19th October 2019.
St Monica School Graduation day
Ibada ya kufanya Mashemasi
Ibada ya kufanya Mashemasi na Kuamuru Makasisi iliyofanyika tarehe 18 October 2019.
Ibada ya kufanya Mashemasi