Taasisi ya Outreach Care inayofuraha kuwakaribisha wadau wote wa maendeleo kushiriki katika sherehe ya kutunuku tuzo ya Utendaji Uliotukuka (Award of Excellence) itakayofanyika siku ya Ijumaa tarehe 30/08/2019 katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi (Idrisa Abdul Wakil Hall), Zanzibar kuanzia saa 4:00 asubuhi – 8:00 mchana.
*************************************************************...
More