Mkutano mkuu wa uchaguzi wa vijana dayosis ya Zanzibar uliofanyika tarehe 25/01/2020 katika ukumbi wa kanisa kuu Mkunazini.
Waliochaguliwa kuongoza Tayo ni:
VIONGOZI
- Benjamin ( Mwenyekiti )
- Emmanuel Asama ( Msaidizi Mwenyekiti )
- Castro Ezekiel ( Katibu )
- Lameck Joachim ( Mshika Fedha )
WAJUMBE
- Wninniefrida Rukwage (Pemba)
- Betina Asheri (Mohonda, Unguja)
- Ombeni Simon (Machui Unguja)
- Freddy Amos Chendende (Mkunazini, Unguja)