Siku ya pili tarehe 21/2/2020 kulikuwa na tafrija iliyofanyika Kiungani ambapo maskofu walipata chakula cha jioni na kubadilishana mawazo na wenyeji na kufurahi pamoja