Uinjilisti Bumbwisudi

Uinjilisti wa mwezi wa 7 mwaka huu huko Bumbwisudi ulioambatana na ugawaji wa zawadi, cinema, michezo ya watoto na upikaji wa chapati kwa Umaki. Uinjilisti huo umeleta matunda mazuri kwa kanisa maana idadi ta waumini wapya kuongezeka.

Uinjilisti Bumbwisudi
Uinjilisti Bumbwisudi