St Monica School Graduation day
St Monica School Graduation day held at Kiungani Zanzibar on the 19th October 2019.
St Monica School Graduation day held at Kiungani Zanzibar on the 19th October 2019.
Ibada ya kufanya Mashemasi na Kuamuru Makasisi iliyofanyika tarehe 18 October 2019.
Stakeholders Meeting : Searching for a common ground for peace in Zanzibar held on 12th October 2019.
Taasisi ya Outreach Care inayofuraha kuwakaribisha wadau wote wa maendeleo kushiriki katika sherehe ya kutunuku tuzo ya Utendaji Uliotukuka (Award of Excellence) itakayofanyika siku ya Ijumaa tarehe 30/08/2019 katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi (Idrisa Abdul Wakil Hall), Zanzibar kuanzia saa 4:00 asubuhi – 8:00 mchana. ************************************************************************The Outreach Care institute is pleased to […]
Uinjilisti wa mwezi wa 7 mwaka huu huko Bumbwisudi ulioambatana na ugawaji wa zawadi, cinema, michezo ya watoto na upikaji wa chapati kwa Umaki. Uinjilisti huo umeleta matunda mazuri kwa kanisa maana idadi ta waumini wapya kuongezeka.
A meeting held to brain storm and discuss on searching for a common ground for peace in Zanzibar.
Ziara ya waimbaji wageni Kwaya ya KCC kutoka kigoma kakifanya tamasha la uimbaji katika kanisa kuu la Kristo Mkunazini tarehe 3 Machi 2019.
Jumuiya ya kikristo Tanzania imeandaa mkutano wa Pasaka (Easter Conference ) kwa ajili ya vijana na wanafunzi wote wa sekondari mada ilikuwa kijama na kanisa katika maisha ya utandawazi.
Ziara ya mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Gaudensia Kabaka katika Kanisa Anglikana Mkunazini – Zanzibar.
Sensitization briefing meeting with the media on Art use among PLHIV to promote viral load suppression and retention. Held at St. John’s Conference Hall – Mbweni.