Siku ya nne kulikuwa na misa kanisa kuu la mkunazini ambayo ilijumuisha maskofu woote.
More
Author: Admin@Anglicandiocese
Ziara ya Maskofu walipotembelea Mahonda
Siku ya pili tarehe 22/2/2020 maskofu walitembelea parishi ya Mahonda na kujionea mambo mbali mbali pamoja na ujenzi wa kanisa jipya pia na shule.
More
Tafrija ya maskofu iliyofanyika Kiungani
Siku ya pili tarehe 21/2/2020 kulikuwa na tafrija iliyofanyika Kiungani ambapo maskofu walipata chakula cha jioni na kubadilishana mawazo na wenyeji na kufurahi pamoja
More
Mkutano wa 11 wa mashauriano wa maskofu wa kianglikana duniani
Mkutano wa 11 wa mashauriano wa maskofu uliofanyika Golden Tulip BUBUBU kuanzia tarehe 19/02/2020 mpaka tarehe 13/02/2020. Kujadili kuhusu kufanya huduma kwenye mazingira magumu na jinsi gani kutangaza injili sehemu mbalimbali za dunia
Picha ya pamoja ya maskofu woote walioudhuria kwenye mkutano huo
More
Peace Awareness Seminar
Peace awareness seminar held at Kidongo-Chekundu Hall in Zanzibar on the 28th January 2020. The purpose of the seminar is to promote peace in the island especially during the upcoming elections. The meeting was attended by forty five religious leaders, political parties and other community members. For more images visit : https://www.facebook.com/AnglicanDioceseZanzibar/
https://www.youtube.com/watch?v=e34PAQbii6A
More
Mkutano Mkuu Wa Uchaguzi Wa Vijana
Mkutano mkuu wa uchaguzi wa vijana dayosis ya Zanzibar uliofanyika tarehe 25/01/2020 katika ukumbi wa kanisa kuu Mkunazini.
Waliochaguliwa kuongoza Tayo ni:
VIONGOZI
Benjamin ( Mwenyekiti )Emmanuel Asama ( Msaidizi Mwenyekiti )Castro Ezekiel ( Katibu )Lameck Joachim ( Mshika Fedha )
WAJUMBE
Wninniefrida Rukwage (Pemba)Betina Asheri (Mohonda, Unguja)Ombeni Simon (Machui Unguja)Freddy Amos Chendende (Mkunazini, Unguja)
Mkutano mkuu wa uchaguzi wa vijana dayosis ya Zanzibar ulio...
More
Events of Christmas and new year services
Monday 23rd 06.00 pm:-Nativity Play (Swahili)
Tuesday 24th 05.00 pm:-Christmas Carols & 9 Lessons (English)
09.00 pm-Christmas Eve Vigil and Holy Baptism (Swahili)
Wednesday 25th 06.30 am:-Holy Eucharist (Swahili)
08.00 am:-Holy Eucharist (English)
09.00 am:-Holy Sung Mass (Swahili)
Thursday 26th 07.00 am:-Holy Eucharist (Swahili)
Wednesday 1st 08.00 am:-New Year Eu...
More